Nani wa kwanza kufa!?..

Atakaye kufa ni B kwa maana hilo jiwe likishuka litambonyeza D halafu litatua kwenye mzani lakini halitaweza kumbana C kwa kuwa jiwe lililosukumwa na E halina uzito wa kulinyanyua jiwe lililoko kwenye mzani, jiwe lililosukumwa na E litabingirika na kupita juu ya jiwe lililoko kwenye mzani na safari yake itaishia kwa mtu wa herufi B.
 
A na B wapo safe. C na D ndio wapo kwenye hatari. Ukisukuma tufe linaponda kichwa cha jamaa ambaye ni D. Linakuja hapo kwenye scale. Huyo aliyelala hapo chini mr C hawezi dhurika sababu ni kwamba tufe la juu halina uzito zaidi ya hilo lililopo hapo keenye scale. So C naye yupo safe.

Wakufa hapo ni D tu.
 
C kwa sabau ukihesabu hivyo vijumba vilivyo kwenye jiwe na vilivyopo kwe ukuta amba jiwe kuto kwa E atakapoliachia ama kulisukuma ni wazi hiyo sehemu yenye nafasi itakuja kutu kwenye kichwa cha herufi D hivyo ni dhahiri herufi D hataguswa na jiwe.

Kulingana na vyuma vilivyokaza uelewa wangu ni huo.
uzito wa mzigo unaoachiwa ni mdogo hauwezi kuinua jiwe eneo la c
 
Back
Top Bottom