Kuhusu Netanyahu,kama USA na UK haitajihusisha anaweza kamatika.Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
Kwasababu USA na UK ni walinzi wa Netanyahu.Hakuna wa kumkamata Netanyahu
Hamna Zaid ya MunguHivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
Putin na Netanyahu ni wazalendo. Wanatetea maslahi ya nchi zaoHivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
Sarakasi za sihasa za kidunia, kwa akili za kuzaliwa tu utaanzaje kujikamata we mwenyewe? USA = Israel, nimekaa pale.Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
We sema tu, lakini hujui maana ya mtu kuishi huku akiwa na order ya kukamatwa kwake mkononi. Hawa watu wamezoea kutembea nchi mbali mbali duniani kama wewe unavyokwenda mjini na kurudi nyumbani. Si kiofisi tu bali hata private.Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
Kabisa lo
Akanyage Norway sasa!! Kwani who the hell is Netanyahu? Nchini kwake tu ana kesi ya ufisadi means akikitwa na hatia atafungwa. Kama nchi yake tu imemfikisha mahakamani kipi cha ajabu kwa ICC au nchi yoyote kumshtaki?Huwezi kumkamata Netanyahu. Hakuna taifa lenye huo ubavu
Netanyahu ana kitu asidakwe.Netanyahu anadakwa tu Kama paka,aende Norway,south Africa hawakumkamata Al Bashir kwa kuwa hawakukubaliana. na mahakama kukamata waafrika tu,wakitaka bush na Blair nao wakamatwe
Hakuna wakumkamata Netanyahu taifa lolote duniani. Wewe unaona ni kazi rahisiAkanyage Norway sasa!! Kwani who the hell is Netanyahu? Nchini kwake tu ana kesi ya ufisadi means akikitwa na hatia atafungwa. Kama nchi yake tu imemfikisha mahakamani kipi cha ajabu kwa ICC au nchi yoyote kumshtaki?
Subiri uone kama unadhani kila mtu ni coward. Putin tu aliogopa kwenda South Africa ndio sembuse huyo fisadi NetanyahuHakuna wakumkamata Netanyahu taifa lolote duniani. Wewe unaona ni kazi rahisi