kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 612
- 681
JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC leo tarehe 21 Novemba 2026, saa 12:30 jioni (18:30) kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba wanaingia kwenye mechi hii wakiwa kileleni mwa ligi bila kupoteza mchezo wowote, wakati JKT wanatafuta kusogea kwenye nafasi za juu.
kibaigwasports.blogspot.com