Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,243
Kipindi hicho kulikuwa na watoto wazuri kina preta afrodenzi na Lizzy
Uoga na Utoto ilikuwa bonge la exposure aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Rev ni kichwa haswa!!!Na ucheshi kama wote.
Nimependa hiyo ya Director! Power ya kuwa anonymous! 😁 But, usingekula kona bana...
Rose1980 , Blackberry 😉Kipindi hicho kulikuwa na watoto wazuri kina preta afrodenzi na Lizzy
Kabisa na huyo nae alikuwa anachangia sana mada zangu ni mstaarabu sana yaaniRose1980 , Blackberry 😉
😁😂😂😂😁😁Dah!Kwa niaba ya Gen Z wacha niwaachie tuu nyimbo msikae kinyonge😃😃😃maana sina cha kuchangia😃😃😃
Kaka Intelligent businessman tupe ost😃😃
View attachment 2938484
Intelli Sina jipya, coz zama hizo Zina Historia, ambayo I don't wanna talk about.Kwa niaba ya Gen Z wacha niwaachie tuu nyimbo msikae kinyonge😃😃😃maana sina cha kuchangia😃😃😃
Kaka Intelligent businessman tupe ost😃😃
View attachment 2938484
No hate, but sio lazima uni taje Mimi ili usikike.Ni Intelligent businessman katoto ka 2001
No hate, ila usi nimention Sana tafadhali, siku hizi sipendi makundi kundi jf. I just wanna be meKabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet 😂😁😁
Nilivyo ibiwaga simu nikaachana na jf waliniibiaga maeneo ya mwenge pale😭😭
Out standing introduction of one self 🤒😄With talent on loan from my father, the honorable Ngabu Sr., and half of my brain tied behind my back...so just to make it fair...I am the First Lord of the Treasury, Lord Chief Justice, Commander-in-Chief, Lord High Admiral... Archbishop of Titipu, Lord Mayor and Lord High Everything Else.
I am the all-knowing, all-seeing, all-caring, all-sensing, all-concerned Nyani outstanding son of Ngabu, lover of mankind, protector of motherhood, supporter of fatherhood, and general all-around good guy, all contained within a lovable harmless little fuzzball.
Aggravating folks is my forte and I have more fun doing it than any human being should be allowed to have. I will be back with more so don't change that dial.
Unaongea na nani hapa Mwanakijiji? Au unajiongelesha mwenyewe 🤣….Kwani kimekukuta nini? Njoo kule ujieleze
Tulia chinga Mimi ni 1984 wewe ni wa 2001No hate, but sio lazima uni taje Mimi ili usikike.
Beside acha uongo bhana, we si una miaka 20 ngapi hapo.
Au na Huku umeona ni sehemu ya story zako za chai??
Kumbe ndivyo ulivyo ndio maana ulinyimwa afu tatu ngoja nikuweke ignore listNo hate, ila usi nimention Sana tafadhali, siku hizi sipendi makundi kundi jf. I just wanna be me
Itakuwa vizuri uki fanya hivyo, alafu hizi mind zenu ndo jau jauKumbe ndivyo ulivyo ndio maana ulinyimwa afu tatu ngoja nikuweke ignore list
Sawa ila afu 3 ilikuuma sana roho Mkuu 😁😂😂😁🤣😁Itakuwa vizuri uki fanya hivyo, alafu hizi mind zenu ndo jau jau
niku shauri kitu, as you grow una paswa ku behave accordingly.Sawa ila afu 3 ilikuuma sana roho Mkuu 😁😂😂😁🤣😁
Siwezi kushauriwa na mtoto wa 2001 ambae ni jobless Hana kazi kazi yake ni kuomba afu 3 Tena kwa demu Cc Lamomyniku shauri kitu, as you grow una paswa ku behave accordingly.
Ita kusaidia kwako na kizazi chako, guess hizi Tabia zako ni source kutoka kwa ancestors wako