Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
- Thread starter
- #501
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee Mimi kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni inayotoa huduma za Internet nilikuwa Sina shida Kabisa. Tatizo kuipata JF kwenye simu ilikuwa changamoto mpaka umpigie Maxence Melo mkutane Steers pale Kijitonyama akuunganishe 🤣🤣🤣
Kweli ilikua mpaka Maxi a-assist?????😲😲 Sijawahi kujua hiyo!😆😆
Mi nakumbuka nilikua sipendi kutumia kwenye simu kwasababu scree zilikua ndogo alafu kazi ku-navigate.🥴

