Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,243
Pitia post 44 dada yanguNidokeze ID yetu ya zamani basi 😉
Pitia post 44 dada yanguNidokeze ID yetu ya zamani basi 😉
Ndio na niliwahi kuweka hadi Uzi 😂😁 kweli enzi hizo ulikuwa utoto hadi wewe nilishawahi kukutamani😂😁😁
Uzi wenyewe huu hapa 😂😁🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio na niliwahi kuweka hadi Uzi 😂😁 kweli enzi hizo ulikuwa utoto hadi wewe nilishawahi kukutamani😂😁😁
Kabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet 😂😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na ulikuaga popular! 😎😁
Kweli those were the days!!!☺️
Palikua pananoga sana. Ujinga kama wote! Usipoingia jukwaani unahisi homa.😁 Alafu kuna namna tulikua tunabalance vizuri ujinga/utoto na issue serious.
Acha kuwachokoza watoto, hawajawahi hata kuingia café wakaona jinsi dakika 30 zinavyoweza kuisha haraka!😁😁😁Kabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet 😂😁😁
Nilivyo ibiwaga simu nikaachana na jf waliniibiaga maeneo ya mwenge pale😭😭
Kuna jamaa pale maeneo ya tegeta kipindi hicho nilikuwa nashinda sana kwenye café ni mwendo wa magemu na kuperuzi jf nafatilia nyuzi zako tamu zenye madini ila skuizi kumejaa watoto wa 2001 tu 😂😁🤣 hawana adabuAcha kuwachokoza watoto, hawajawahi hata kuingia café wakaona jinsi dakika 30 zinavyoweza kuisha haraka!😁😁😁
Vibaka walaaniwe!!! 😬😬😬
Aisee Ms. Dr Lizzy huyu Dada AshaDii hata kuingia humu haingii tena nasikia ni mmoja ya Wakurugenzi wa JamiiForums Sasa hivi namuonaga X na IG tu. MMU ya kipindi hicho ilikuwa ni ya moto.Lizzy kama kawa thread zako zoote huwa zinakua zimesimama THANK YOU PARTNER
Utanisamehe partner kua sitajibu tu in short kutaja watu wanivutao. Nazungumzia in general kitu gani hunivuta kuingia/kuchangia au kutoingia/kutochangia
Thread hasa hapa MMU zimekua nyiiiingi mno na nichache zenye mambo ya maana, na hizo ndo hutupa nafasi ya kuchakachua (am one of them hasa kama wachakachuaji wenzangu wamo humo ndani hasa partner wangu Lizzy)
Thread yoyote ya maana na msingi hapa MMU hua hata wachangiaji wako makini (hata kama ni wachakachuaji) tokana na ukweli kua hio maada ni ya muhimu na msingi kwa woote wanaofuatilia wawe members au non members ndo maana unakuta kua threads ambazo ni za msingi mara chache saana huenda pages mpaka 15 huko tokana na ukweli kua kila post inayotolewa na kila member ni ya muhimu na inahitaji majibu
Bahati mbaya saana members wengine anaona ni sifa tu kuanzisha thread (observe saana hawa members huwezi mkuta thread ya mwingine akichangia yeye kazi ni kupost tu) bila mpango wala kujali Personally naamini ukianzisha thread unaweka attention yako yoote hapo ili upate mawazo ulokua unataka na wewe huku ukitoa ni stand ipi ambayo unayo tokana na michango ya fellow JF members.. Personally thread ikiwa ya msingi I dont care nani kachangia AU nani kagusa hapo AU ni nani kapost AU hata kama nae huchangia au lah! maana nataka kutoa mawazo yangu kuhusu hio issue..
But thread isipokua ya msingi hapo ndo full kuchakachua na kuangalia kama company yangu ya kuchakachua imetia timu humo ndani Ndio zipo thread ambazo hamuwezi jadili bila kuchakachua kama vile ya mavazi hio haiepkiki,,
USHAURi; Hata watuma thread inabidi wawe wanaangalia kwa siku hio thread zimetumwa ngapi? Unakuta a very nice thread imeeanzishwa but siku moja tu haipo imehama page hivyo kukosa update na mawazo ya watu wengine sababu tu thread kama more than 10 zimetumwa na hamna la Msingi, siku ambayo nimeboreka nahitaji kucheka naingia kwa BjBj au Speaker, Nikiona uzi wa Pauline hua najipanga kabla ya kuingia...
Naunga mkono hoja ashadiii now humu ni staff miaka hiyo jf ilikuwa nzuri sana Hawa watoto wa Leo wana hoja za kiwaki sana
😂😂😂😂Naunga mkono hoja ashadiii now humu ni staff miaka hiyo jf ilikuwa nzuri sana Hawa watoto wa Leo wana hoja za kiwaki sana
Sawaa kaka Sharo hiphop 🤣🤣🤣🤣Kabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet 😂😁😁
Nilivyo ibiwaga simu nikaachana na jf waliniibiaga maeneo ya mwenge pale😭😭
Kipindi hicho ndugu yetu chinga yupo darasa la 2 Hajui internet ni Nini 😁😂Sawaa kaka Sharo hiphop 🤣🤣🤣🤣
Ila tumetoka mbali sana 🤣🤣🤣Kuna jamaa pale maeneo ya tegeta kipindi hicho nilikuwa nashinda sana kwenye café ni mwendo wa magemu na kuperuzi jf nafatilia nyuzi zako tamu zenye madini ila skuizi kumejaa watoto wa 2001 tu 😂😁🤣 hawana adabu
Katika watu nnaowamiss ni partner wangu AshaDii 😔 She was something else!🙂
Aisee Mimi kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni inayotoa huduma za Internet nilikuwa Sina shida Kabisa. Tatizo kuipata JF kwenye simu ilikuwa changamoto mpaka umpigie Maxence Melo mkutane Steers pale Kijitonyama akuunganishe 🤣🤣🤣Ila tumetoka mbali sana 🤣🤣🤣
Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. 😆😆
Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
Kukimbizana na watoto kazi ujue.😂😂😂😂
Mada za MMU hata hazina maudhui kama ya zamani yaani zimekuwa za kiwaki sana hata Malijendari nao hawaleti matilio namuona hata Dr Lizzy naye kachoka humu MMU mara nyingi yupo Snapika tu
Zama zao hizi acha wavimbe. JamiiForums wafikirie hata namna ya kutuvesha badge sisi Malijendi wenye zaidi ya miaka 10 humu. Kuna Dada mmoja alikuwa anaitwa Mwali sijui kashakuwa Lishangazi naye? 😂😂😂
Hilo neno mpaka ukiliandika lilikuwa Lina display ******Kukimbizana na watoto kazi ujue.
🙈🤣
Zamani kulikua na balance nzuri. Alafu watu walikua wanaogopa kupigwa zile ngumi za CRAP thread zima tokea mwanzo mpaka mwisho wakizingua sana.