AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
Hahahhaah...partner wantafta uchokozi weye!
Nimefurahi saaana kuona msimamo wako leo... i bliv CPU is so proud of you leo... basi tu kujishebedua! Me glad you my partner...
Hahahhaah...partner wantafta uchokozi weye!
Dkk 11 tu alafu nakuja baba mchungaji!
Mhhhhhhh ngumu kumeza sasa usikasirike wachakachuaji kama kina dada Dena Amsi wakiibuka hapa, Ina onekana NN anakunyima uchingiji eee, au mnapendana kijanjajanjaMi sio Lizzy...natumia tu ID yake!!
See i got you all figure out..
You need everyone‘s Thanks and Likes to feel noticed...
Behind that tough guy persona you put up ..you don‘t even know who you are..
You got an attitude to hide your true self..
You throw it around like you are cooler than all of us..
You never say ‘hey‘ or give me Likes cause you probably think you are cooler than me...
Thanks partner...ili Sipiyu kama kawa kaenda kulala huku amenuna!!Eti anahisi nshaanza kuibika ibika!!Nimefurahi saaana kuona msimamo wako leo... i bliv CPU is so proud of you leo... basi tu kujishebedua! Me glad you my partner...
As if..........
Thanks partner...ili Sipiyu kama kawa kaenda kulala huku amenuna!!Eti anahisi nshaanza kuibika ibika!!
As if..........
I'm the creme de la creme
Always shunned fame
Legendary in the game
Longevity is my sirname
haha !ha!
umenichekesha wew jaman...tuazime iyo yako basi..mwanaume kuwa mchoyo wala ahainogi...
mwanaume wewe kiswahili lugha ya taifa sasa unavyojitia kimbelembele km matiti ya isha mashauzi wala hainog...mwaga kishwahil apo kati twende sawa...usichezee moto utakuuunguzaaaaaaaaaaaa....!!!!!!
Ahahahaaah!! Mkuu Gazeti.......utani mwingine sio mzuri.....lol!!Nilisahau unajua humu kuna memba wengi sana huyu katavi nilimsahau ananifurahisha sana kwanza nikiiona tu Avatar yake nasikia furaha, halafu michango yake huwa inanifurahisha sana ni mtu wa utani asiyependa kuudhi watu. Nakukubali kaka kama hujaoa nitakuachia wa kwangu si unatua wamasai......... Usijichekee natania tu.
naona unamwaga mistari, uwahi kurudi nyumbani ukitoka hapaI'm the creme de la creme
Always shunned fame
Legendary in the game
Longevity is my sirname
naona unamwaga mistari, uwahi kurudi nyumbani ukitoka hapa
Thanx Ennie kwa upendo wako, napenda pia unavyochallenge watu kwenye posts zao
daah mambo vipi mpenzi
ndo nini kupotea hivyo jamani
dahhh Paka Mweusi alikufuata
naye sijui ndo kapotea njiani mmmhh
Hujambo lakini mami??
We nae umepotea sana rudi mjini shamba hakukufai kabisaSijambo AD
Dah, niko shambani bwana wangu,
Si unajua msimu wa mvua huu,
Tunapalilia wangu,
Dah huyu Paka nitamfunga kengele nikimkamata aisee.