CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Mimi silipendi sana JF moderator 1, jamaa halinaga subira kila wakati lipo kupiga ban tu.
Namfagilia sana invisible, huyu ni mtu wa diplomacy akikuona unalifuata rungu lake la ban anakutahadharisha pengine hata kukuita faragha kukuonya, kama mods wote wangekuwa kama huyu jamaa nadhani ningekwisha itikia wito wa........mkono haulambwi!!!
Heh heh he heh
Mchungu ka juisi ya vitunguu