Karibu sana JF...
Uliza chochote utapata jibu mkuu...
Asanteh Mkuu.
Mi yanii ni mgeni..sijui hata hizo pm napata wapi, na jinsi ya kuanzisha Uzi sijajua badoo...sometimes nalog in nakosa cha kucomment naona is like no one cares...duuh, kwakweli sikutegemea but hope ntapata wenyeji soon. Thanks again
Taratibu utajifunza...
Kama unatumia JF katika kompyuta basi ni rahisi zaidi kuijua JF...
PM ni kifupi cha "Private Message" hivyo ni njia ya mawasiliano baina ya watumiaji wa JF na hushahabiana na mtindo kama wa email...
Hivyo utapoperuzi JF na ukiona neno Private Message au Send private message basi ujue hicho ndio kiunganishi cha kuelekea PM...
Asanteh...mi natumia simu. Hicho kiunganishi cha PM nimekiona ila sijajua nakitumiaje kwakweli.
Hahahaaa,kama kuna aliyenuna na a sign of!
Acha hizo bwana, huu u Kiba vs Diamond kisiwe kikwazo.
Nakukubali ila sometimes......
Asanteh...mi natumia simu. Hicho kiunganishi cha PM nimekiona ila sijajua nakitumiaje kwakweli.
usiwe na shaka Donjama hata mimi natumia jf mobile na nilianza kujifunza pole pole na mpaka sasa naendelea kujifunza kupitia member wa jf.
Hata kama unatumia simu,mwisho wa siku utakuwa na ujuzi wa kumention mtu kama Donjama ,umeona jinsi jina lako lilivyotokea,ukiclick hapo kwenye jina lako profile yako inafunguka.
Pia kupitia simu,utaweka kuweka maandishi yako rangi kama ifuatavyo
[COLOR=]Donjama akaribishwa na wanachita chat,apata makaribisho ya nguvu[/COLOR] ,Hii siyo computer bali nimetumia simu tu,tenda ambayo siyo smartphone.
Pia utaweza kuona uzuri wa Jf kwamba hata uwe na simu utaweza kupiga maneno yako mstari kwa mfano Donjama atamani kujifunza mengi ,hivyo ni wewe tu kuwa ukiendelea kujua taratibu.
Taratibu utajifunza...
Kama unatumia JF katika kompyuta basi ni rahisi zaidi kuijua JF...
PM ni kifupi cha "Private Message" hivyo ni njia ya mawasiliano baina ya watumiaji wa JF na hushahabiana na mtindo kama wa email...
Hivyo utapoperuzi JF na ukiona neno Private Message au Send private message basi ujue hicho ndio kiunganishi cha kuelekea PM...
Zaidi kuanzisha uzi kiunganishi cha "New Topic" hutumia. Ukiingia ukurasa wa mbele wa jukwaa lolote huwa kuna kitufe chenye kubeba maneno hayo.
Ukibofya hapo basi utapelekwa moja kwa moja sehemu ya kuandika unachota kuueleza umma...
Kumbe huwa wapita pande hizi pia eenh!!!
Wewe ni mmoja kati ya wachache JF ambao mtu anaweza kujifunza kitu kwako...
Nakukubali sana mchaga wewe!!!
Hivi unaelewa ulichoandika hapa mkuu SL?Excel Nitake radhi kwa kunivujia heshima mkuu nakuniambia nina id nyingi humu ndani?