Mie si mwenyeji sana hapa JF. Hata hivyo wachangiaji wengi ni makini sana. Mnatupa maarifa na uzoefu. Binafsi nawakubali hawa: FaizaFox, Lara 1, Mzizi mkavu, Mshanajr, Misschaga, Shyland, Mzee Mwanakijiji, nifah, and Heaven on Earth. Endeleeni kutupa maarifa wajama.
Hakyamama leo nimepata zali kama alilopata Membe kumpokea prezidaa Kagame. Kukubaliwa na kubwa la maadui ni bahati kama Lowassa kutangaziwa nia na wachungaji na mashehe.
long live lara 1 moko. Mi najua unajua navyokukubali. Yani basi tu yani.