Nani unamkubali sana JF?

Nani unamkubali sana JF?

Gang Chomba huyu fundi ananikosha mno katika kumuelezea Gaucho au Milan.Natamani apate ukurasa mmoja ----------- awe anatuletea na kutuchambulia habari za soka na uwasilishaji wake wa kipekee atapiga bao.
 
Mkuu mambo yapo poa , umepotea sana bro . Huyo jamaa ana matatizo anatuona watoto eti hana Ids nyingi. Mkuu Excel pamoja sana bro.
Mkuu bily, mambo vipi bro? habari za siku nyingi? Dinazarde anasemaje hapo juu?
Shy land anajijua mwenyewe mkuu, he has too many names apart from this of shying....


Btw, tufurahie wote tu kuwa JF. Invisible si yupo bhana, atayetoa makucha nje tu naamini mkuu Moderator ama Paw atamtolea jicho...

Asubuhi njema wadau.!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom