Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,372
Wakuu hivi member gani humu threads zake anazozianzisha huwa zinakuvutia sana kiasi kwamba ukiziona lazima uzisome na uchangie yani kwa kifupi huwa hazikuboi pia ni member gani threads zake huwa ni zina kuboa sana na huwa unazifungua kwa bahati mbaya tu?
Dhumuni la kuanzisha huu mjadala ili tuweze kujua ni member gani huwa anakwaza sana ili aweze kujirekebisha ikiwezekana asiwe anaweza kabisa kuanzisha uzi kwa muda fulani yani apewe ban ya kutoanzisha uzi kwa muda lakini kuchangia nyuzi za wengine aweze
Pia tunataka tujue ni member gani anajua anajua sana kuanzisha mijadala ili kwa namna moja au nyingine azidi kujionoa katika hiyo nyanja ili azidi kutupa mautamu.