just BE YOU...........,
ukiwategemea wengine kupata furaha imekula kwako
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
rafiki wangu wa kweli ni Mungu wangu na watotot wangu baaasiHivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
mi namtegemea Jesus Christ Kupata furaha ya kweli aisee, haniangushi huyu kijana ana mapenzi ya kweli na nimwaminifu , jina lake lina nguvu kupita majina ya wanaume wote!!!!!
Yesu ndio rafiki wa kweli!!!!

rafiki wangu wa kweli ni Mungu wangu na watotot wangu baaasi
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
hawezi kuwa rafiki aisee anaweza kukugeuka ile sio damu yako ati ni watu wakukutana ukubwani nakuishi nao kwa akili akilala na panga na wewe lala na shoka lako aweza hata kukua na mshipa usimcheze am sorry EiyerBaba wa hao watoto je?
wengine wangepoteza namuonekano na sura kupotea kabisaKusalitiwa ingekuwa unabaki na kovu,
wengine tungejaa makovu kila mahali;
mdau umeongea vyema ila hapo kwenye nyekundu umenitia ukakasi! hili ni jina lipitalo majina yote! kusema huyu kijana? sijui umewaza nini? yamkini ulimaanisha kivingine nami nikadhani tofauti?
hawezi kuwa rafiki aisee anaweza kukugeuka ile sio damu yako ati ni watu wakukutana ukubwani nakuishi nao kwa akili akilala na panga na wewe lala na shoka lako aweza hata kukua na mshipa usimcheze am sorry Eiyer
pitia hapa utanielewa vizuri
Picha za kikatili za mwanamke aliyeuawa kwa kutobolewa KOROMEO - MPEKUZI