Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
we ukitegemea eti kaka ake Lady doctor atanipa furaha......
mbona inakula kwako,utasubiria wewe hiyo furaha
hahahaaa...... Njoo kwa Yesu ewe dada!!!!!
Last edited by a moderator:
we ukitegemea eti kaka ake Lady doctor atanipa furaha......
mbona inakula kwako,utasubiria wewe hiyo furaha
Kusalitiwa ingekuwa unabaki na kovu,
wengine tungejaa makovu kila mahali;
Jesus Christ of Nazareth, ndiye rafiki wa kweli
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
Kusalitiwa ingekuwa unabaki na kovu,
wengine tungejaa makovu kila mahali;
pole yako na wewe tunaishi kwa akili na kumwomba mungu binadamu haaniniki hasa mliekutana ukubwani najua hujaoa ukioa utajua nini namaanisha .ubwage moyo na wewe ubwagiwe pole yako wenzio wananyolewa wewe unapaka superblack badala ya maji ???hatuishi sayari nyingine na haya yanatokea kwenye hihihi EARTH PLANET so be carefully when you talk about marriage kama sio mwanachama.Ningekuwa na uwezo ningekushauri uachike halafu ujifunze ndoa ni nini kisha uolewe upya
Haya maelezo yako yanaonesha umeolewa kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna kuolewa na sio unajua nini maana nna sababu ya kuolewa
Pole sana!
hahahaaa...... Njoo kwa Yesu ewe dada!!!!!
pole yako na wewe tunaishi kwa akili na kumwomba mungu binadamu haaniniki hasa mliekutana ukubwani najua hujaoa ukioa utajua nini namaanisha .ubwage moyo na wewe ubwagiwe pole yako wenzio wananyolewa wewe unapaka superblack badala ya maji ???hatuishi sayari nyingine na haya yanatokea kwenye hihihi EARTH PLANET so be carefully when you talk about marriage kama sio mwanachama.
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
kwahiyo huyo unamwita baba ni ndugu yako? mama yako angemuwaza baba yako hivyo ingekua poa?hawezi kuwa rafiki aisee anaweza kukugeuka ile sio damu yako ati ni watu wakukutana ukubwani nakuishi nao kwa akili akilala na panga na wewe lala na shoka lako aweza hata kukua na mshipa usimcheze am sorry Eiyer
pitia hapa utanielewa vizuri
Picha za kikatili za mwanamke aliyeuawa kwa kutobolewa KOROMEO - MPEKUZI
hakuna rafiki wa kweli zaidi ya "Yesu"
kama huna ndoa huwezi kuwa mshauri mzuri wa ndoa ,utashauri kimazoea tu nakuhukumu! Mimi kwenye mggoro kamwe hutasikia !!na ni miaka mingi haijawahi tokea so usiniaminishe unachoamini wewe siishi mars mimi narudia tena naishi kwenye dunia ambayo nashuhudia mengi yakitokea so siwezi ishi kama mjinga bila alert! Nisubiri yanikute naishi kwa akili huku nikimwomba mungu sana.kuhusu kumjua mungu-inawezekana mungu ninayemjua mimi sio unayemjua wewe nafikiri kaa kwenye unachokiamini usiniaminishe unachokiamini!ukweli ni ukweli wala hauwezi kubadilishwa na chochote!
Narudia tena hujui nini maana ya ndoa kama ungejua usingesema haya
watu kuwa waovu haiondoi msingi wa ndoa
mara nyingi sana matatizo mengi ya kindoa husababishwa na wana ndoa wenyewe hasa wenye mtazamo kama wako
kuna kitu kingine nimekiona kwenye maelezo yako,inaonekana wewe humuamini mumeo na mnaishi kimazoea sana,kama hakuna migogoro kwenye ndoa yenu basi tarajieni kuingia kwenye migogoro siku sio nyingi!
Kwenye maelezo yako umemtaja mungu,hivi unamjua mungu ni nani nivea ??
Hiyo haikuwa pointi yangukama huna ndoa huwezi kuwa mshauri mzuri wa ndoa ,utashauri kimazoea tu nakuhukumu! Mimi kwenye mggoro kamwe hutasikia !!na ni miaka mingi haijawahi tokea so usiniaminishe unachoamini wewe siishi mars mimi narudia tena naishi kwenye dunia ambayo nashuhudia mengi yakitokea so siwezi ishi kama mjinga bila alert! Nisubiri yanikute naishi kwa akili huku nikimwomba mungu sana.
kuhusu kumjua mungu-inawezekana mungu ninayemjua mimi sio unayemjua wewe nafikiri kaa kwenye unachokiamini usiniaminishe unachokiamini!
ni kweli unakosea na hayana uhalisia wowote!Hiyo haikuwa pointi yangu
Narudia tena siku ukijua ndoa ni nini na kama unahitaji kuishi kwa furaha[sio raha] utajifunza hayo
Wewe unaishi kama askari alieko vitani kila wakati anahisi kuvamiwa
Matatizo unayoyaleta kwa kuishi hivyo huyajui lakini unahatarisha maisha yako kwa kiwango kikubwa sana hata kuliko kuishi bila tahadhari kama ulivyosema wewe
Sikumaanisha nikubadilishe kwenye kile unachokiamini wewe
Lakini hii kauli inaonekana inatoka kwa mtu ambae amechoka sana na hataki kujishughulisha tena kujijua na kuijua kweli
Vipi kama Mungu unaemjua wewe sio halisi?
Vipi kama namna unavyomjua Mungu sio sahihi jambo linalopelekea ukosee kwenye mambo mengi?
Kujifunza sio vibaya
Natamani sana uyafurahie maisha kwa uhalisia wake wewe na familia yako kama huyafurahii
Lakini haya ni mawazo yangu tu unaweza kuachana nayo kama hayakufai au nakosea na hayana uhalisia wowote!
ni kweli unakosea na hayana uhalisia wowote!
ila nashukuru kwa kujitahdi kuvaa uhalisia!
Mbona hizi kauli zako zinakinzana?
Kama ninakosea na maelezo yangu hayana ukweli wowote ni uhalisia gani niliojitahidi kuuvaa?
rafiki wa kweli ni miguu yangu yangu popote nipo naeHivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?