Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
hakuna rafiki wa kweli zaidi ya "Yesu"
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?
mimi nilishasalitiwa na mwanamke,sitasahau
Kusalitiwa ingekuwa unabaki na kovu,
wengine tungejaa makovu kila mahali;
kama huna ndoa huwezi kuwa mshauri mzuri wa ndoa ,utashauri kimazoea tu nakuhukumu! Mimi kwenye mggoro kamwe hutasikia !!na ni miaka mingi haijawahi tokea so usiniaminishe unachoamini wewe siishi mars mimi narudia tena naishi kwenye dunia ambayo nashuhudia mengi yakitokea so siwezi ishi kama mjinga bila alert! Nisubiri yanikute naishi kwa akili huku nikimwomba mungu sana.kuhusu kumjua mungu-inawezekana mungu ninayemjua mimi sio unayemjua wewe nafikiri kaa kwenye unachokiamini usiniaminishe unachokiamini!
mbwa ni rafiki wa kweli hapa duniani.
Hasa Nyau,...
Nyau anakukimbia muda wowote...