Oceanic ridge? Jamani kulivyo kuzuri, nipeleke basi.
Hapo vinavyohitajika ni tents, blanket kubwa, safety boots, kofia pana, suruali jeans na mashati mijono mirefu, kamera, chanzo cha moto, miwani ya jua.
Misosi mikavu mikavu na nyama, ukiangusha bbq hapo, bila kusahau maji ya dhahabu.