SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,090
- 6,700
Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa "Ngumbale"?
Mwanahilisi tupatieni fafanuzi!
Mwanahilisi tupatieni fafanuzi!