Nani ni nani African Union (AU)?

Nani ni nani African Union (AU)?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Kama AU itaamua kuja na utaratibu kama ule wa UN wa kuanzisha vingunge wa kura ya Veto, unadhani ni nchi zipi tano wanachama wa AU wanastahili/watapata mamlaka hayo ya Veto? Na vigezo vyako ni vipi kukisia nchi hizo?

1650282203453.png

1650282270250.png

Taswira zote kwa hisani ya google.
 
Kati ya hizi. Nne au zaidi mhimu kuwemo..
Misiri
Kenya.
South Africa.
Nigeria
Morocco.
 
kila kanda itoe taifa na wapigiwe kura na mataifa yote kuchagua... watakao pata kura nyingi toka kila kanda waunde hiyo veto...

1. SADC
2. EAC
3. North zone
4. ECOWAS
5. CENTRAL ZONE
 
Karukekere, Kenkombyo ,Bulamba na Nyamitweebili.


Hoja zingine hazina mbele wala nyuma
 
Tanzania
Ethiopia
Ghana
Nigeria
Guinea ya Seku Toure
 
Morocco ilijiunga lini AU? Maana waliwahi kujitoa baada ya iliyokuwa ikiitwa OAU kuitambua Sahara magharibi.
 
kila kanda itoe taifa na wapigiwe kura na mataifa yote kuchagua... watakao pata kura nyingi toka kila kanda waunde hiyo veto...

1. SADC
2. EAC
3. North zone
4. ECOWAS
5. CENTRAL ZONE
Mmmh! itakuwa vita mbaya sana ndani ya hizi Regional Integrations.
Tanzania
Ethiopia
Ghana
Nigeria
Guinea ya Seku Toure
Guinea ya Sekou Toure iliondoka naye kitambo, imebaki ya Kleptocrats na Oligarchs.
 
Back
Top Bottom