Nani ni kama mimi?

Nani ni kama mimi?

kalachai

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
76
Reaction score
110
Nani ni kama mm ambaye aliempenda mtu kwa dhati tena upendo wa KIMUNGU ambao hauwangalii sura , rangi, tabia ,kabila, na hata pesa lkn pamoja na upendo wote ulionyesha kwake yy anachukulia easy kwa vile alishawahi kuumizwa nyuma kabla yako.

Nani kama mm ambae alidanganywa kwa maneno matamu na mazuri na ahadi nzuri za kuvutia lkn ikabaki kuwa story.

Nani kama mimi ambaye kwenye mahusiano yake anaweza akamaliza siku 3 bila text yoyote wala call kutoka kwa mpenzi wake anaempenda kwa dhati. Nani kama mm ambae unamtext love wako lkn hajibu text.

Nani kama mimi ambae unampigia cm love wako lkn anakukatia ukimuuliza why anakwambia niko kwenye majukumu

Nani kama mm ambae yuko kwenye mahusiano lakin mpenzi wake hamjalii kwa lolote wala chochote si kihisia , si kifedha , si kimawasiliano yani namaanisha kukujulia hali, na mengine mengi.

Nani kama mm ambae ana mthamini mpenzi wake yupo tayari hata kujinyima yy mwenyew ili tuu amfurahishe mpenzi wake na kujali pia hata wakati wa kuumwa lkn anae mthaminii haionii thamani yako.

Nani kama mm ambae uliamua hadi kumuonesha mama yako picha yake na kumwambia kuwa uyu ndo mwanaume ambae nimemchagua kuwa ndo atakuwa wa kwanza na wa mwisho kwangu lakin KWA SASA UNAONA HAIBU NA MAJUTO JUU kwann nilikuwa na uwaraka wa kufanya hvyo angali bado ajajileta mwenyew nyumban.
 
Mliokosea njia rudini mkaanze upya tena kwa speed kubwa maana life span ni ile ile ya 60's
 
Back
Top Bottom