Nani ndo GOAT wa rhumba?

Pepe Kale huyu jamaa alitufanya tukeshe kwenye disko vumbi. Nyimbo zake mpaka leo zikipigwa lazima uchezeshe hata miguu
 
Hao wote ni watoto wadogo kwa Franco. Franco amekuwa in charge of Rhumba kwa miaka mingi mpaka alipotunga wimbo wa kuzalilisha wanawake, Mobotu akamfunga. Alipotoka akapoteza nguvu lakini aliendelea kuwa influential. Wanamuziki wote wa Zaire walikuwa hawaruhusiwi kwenda kuimba nje ya nchi bila kupewa kibali na Franco.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…