Wafanyakazi wa Yono wote wana vitambi vya chibuku!!Sasa tunataka kuona kama mwenyekiti anachukia ufisadi ashindwe kuiangalia kampuni hii.
Ninaona kama TRA inachafuliwa sana na tamaa za madalali kama Yono. Kwanza walikuwepo majengo. Nasikia shingo ilishaelekea kibra..sijui kama alishachinjwa maana naye mali zake zilikuwa mnadaniHiyo Yono ni Kampuni ya Mwana CCM mwenzenu na bila ya shaka wanaofaidika ni nyie na chama chenu!!
Kuna mmoja namtambua kwa SuraWafanyakazi wa Yono wote wana vitambi vya chibuku!!
Hii yono si ndio iliyotupa vifaa vya disko na kampuni ya magazeti pale bilicanas!Hiyo Yono ni Kampuni ya Mwana CCM mwenzenu na bila ya shaka wanaofaidika ni nyie na chama chenu!!
Unaandika ukiwa choo cha shimo eehh..Hii yono si ndio iliyotupa vifaa vya disko na kampuni ya magazeti pale bilicanas!
Mkuu ukiaangalia utaratibu haufatwi kama inavyotakiwa. Mdaiwa ama wadaiwa sugu mnada unatakiwa kutangazwa kwenye gazeti na Kamishina wa TRA. Sasa cha kushangazaa Yono Mart imekuwa kama kitengo cha TRA wao ndio wanaenda kufunga biashara za watu na kuita press conference wakiwa na furaha kubwa sana kuuza mali hizo.Kwanini TRA isiunde chombo au department ya kuhusika na hayo mambo kuliko kutoa hela kwa hap yono
Wanauza haraka maana huwa commission yao ya udalali ni kati ya 10% to 20% ya pesa waliyouza, hivyo wanaangalia faida yao pekee.Kamati ya bunge imeamuru NSSF iifahamishe TRA kampuni ya Yono Mart usimamishe mpango wa kuuza nyumba za mradi wake wa Dege Eco Village baada ya mkandarasi wa mradi huo wa ujenzi Mutluhan kutoka nchini Uturuki kudaiwa deni la kodi la bilioni 45.
Hivi inaingia akilini kuuza mradi wa NSSF ulioitia hasara ya bilioni 270 kwa shirika hilo kwa kufidia deni la mkandarasi la bilioni 45.
TRA na Yono Mart pia walishindwa kuuza nyumba za Lugumi baada kuonekana kampuni ya Lugumi inadaiwa bilioni 13 na lakini wanataka kuuza nyumba kwa bei ambayo sio kwa thamani halisi ya nyumba hizo. Serikali itupie macho hii kampuni ya Yono Mart ambayo itailetea hasara kubwa wenye mali (wadaiwa) na TRA katika harakati zake za kupenda kupiga mali mnada kwa haraka kwa maslahi ya kampuni hiyo.
Umenena vema. TRA na madalali ni sawa na mvinyo wa zamani kwenye viriba vipya.
Wanakula kwa zamu, nchi ya madili tu. Ilikuwa Majembe enzi zile kisha awamu hii ni Yono.