Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
- Thread starter
- #21
Kwa umri niliyonayo kampuni yeyote inayojihusisha kupiga minada mali za watu hatimaye huwa zinafilisika. Iko wapi Majembe Auction Mart.Hawa madalali watu wabaya sana..ukikaona kale kamama kanavyosema utafikiria kuna haki. Matunguli yana mwisho wake. Amuulize Majembe. Wasione raha kusumbua watu wasio na hatia.