hebu muache alhaj anywe ghahawa taratiiiibuuuMbona Alhaj Ali Hassan Mwinyi hujamuweka?
Mbona Alhaj Ali Hassan Mwinyi hujamuweka?
Dah ila Jk katupeleka beyond expectations yaan anaondoka madaraka hali ngumu sana kwa wananchi!!
Na mkimuweka Lowassa itakuwa mara 100 zaidi
Kwa hiyo tumwambieje JK professor??
Na mkimuweka Lowassa itakuwa mara 100 zaidi