Nani mwenye makoso kati ya hawa

Nani mwenye makoso kati ya hawa

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota ghafla akapiga kelele "Jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu,..!
 
tehee tehee teheee! hii imetulia! umewaza nini jumapili yote hii lazima nilimekutokea
Do! kudadadeki!
 
Mwanamke ndiye mwenye matatizo ya kutembea/kutoka nje ya ndoa yao.
 
avatar60600_1.gif


Aiseeee!
 
Back
Top Bottom