Nani mwenye makosa

Nani mwenye makosa

Ni kweli lakini makanisa yapo mengi na hivyo nadhani alikuwa na padri wa kanisa jengine. Kuna kijana alijiua hapa jirani padri wala kiongozi wa jumuia hawakuongoza ibada lakini walipata mtu mwingine akaendesha ibada. sasa hivi ni soko huria

Tatizo!!
Hakuna utaratibu wa namna hii Kanisa Katoliki.
Askofu asuse Padre aje aongoze Ibada?
 
Nadhani itakuwa mwanzo walikubali ndio maana mke wa marehemu akawepo baadaye wakageuka na ndio maana akaondoka. lakn mazishi hayakufanyika nyumbani kwake yakafanyika nyumba yake aliyokuwa ameweka wapangaji na kaburi lipo hapohapo.


Nakataa. Hakuna kitu cha namna hii, na nitakuwa wa mwisho kukubali hili.
Hakuna kanisa lenye complication kama Katoliki linapokuja swala la Mazishi.
Hata askofu kuwepo tu tayari Paroko na Mapadre wengine wa eneo husika
wanataarifa na wangekuwepo.
tena hayo yangetatuliwa kabla na wala asingetia mguu hapo kama bado kuelewana baina ya ndg.
 
Huyo mkewe hana hata chembe ya busara....Hata ndugu nao hawana busara. Mwanamke gani anashindwa kumsamehe mtu ili aende zake kwa amani. That is the battle for his soul which is more important than life.

Unashindwaje kumsamehe mtu anayekaribia kufa. He wont hurt you any more that is guaranteed. Hiyo ni roho ya kutu, Kwani yeye hatendi dhambi?

Askofu kung'ang'ania mke awepo na yeye pia ni shida kwa sababu the guy is gone. He has no ties with the woman any longer. Yalishakwisha mkewe aliposhindwa kumsamehe.

Jamaa angezikwa na watu wote kama ilivyo ada, kila mtu asahau mahusiano mabaya na jamaa coz he is already gone and wont help anything hating him.

Mkuu PetCash, usiombe kutendwa na kuvurugwa na mtu wako wa karibu uliyemwamini na kumpenda, ina hitaji nguvu ya MUNGU kusamehe. Ndio maana hata Madiba Mandela alishindwa kumsamehe Winne mpaka mauti yamempata
 
Hizo ndo tabia za kishetani sasa. Mwanadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu ,Mungu ana hasira ya kuishia kizazi cha nne na ana huruma ya kuishia vizazi elfu. Hiyo maana yake ni kwamba Ratio ya kusamehe ya Mungu na ya kuwa na hasira ni 1000:4 which is almost negligible! Ukiwa umeumbwa kwa mfano wa Mungu utakasirika ukitendwa ndio lakini kuna Time( Which God made it to heal wounds) na pia mtu ameshajutia na kuomba msamaha utasamehe.

Ila kama shetani kakushika hutasamehe!

Hivi Mungu angekuwa hivyo tungekuwa tunaishi hapa duniani sasa hivi? Wanawake hawako unavyosema, ni wanawake wapumbavu wachache ndo wako hivyo!


hujakutana na waliojeruhiwa na kila wakati wanaombwa msamaha na bado mtu anarudia makosa yale yale sasa unakuta mtu mpk moyo na akili hazifanyi kazi utashangaa vituko vyao omba Mungu uishi miaka mingi utaona vituko vingi sana kwenye hii dunia.
 
Back
Top Bottom