BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 956
- Thread starter
- #21
Hebu weka hitimisho lako vizuri...
Hitimisho ndio kama hivyo. Ndugu waligoma mke asishirikishwe wakaona ni bora askofu aondoke. Na askofu anasema taratibu lazima ufuatwe. Wakamwambia kama ni lazima mke ashiriki basi bora waondoke wote. Nafikiri ndugu walijua jamo hilo linaweza kutokea hivyo wakawa na mtu mwingine tayari kwa ibada. Hiyo familia wanapesa hivyo haikuwa tabu pengine ndio maana na kiburi wakawa nacho