Nani mwenye makosa hapa?

Nani mwenye makosa hapa?

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Hapa nani mwenye makosa kati ya baba mkwe au huyu dada alieamua kumwaga radhi?chanzo cha habari/Global publishers. 113.JPG114.JPG115.JPGView attachment 57907117.JPG118.JPG119.JPGView attachment 57911View attachment 57912
 
duh..babu kapata mfadhaiko,kweli ng'ombe hazeeki maini
 
Kumbe hiki kizazi kimeanza kuharibika tangia kizazi cha babu zetu hee!
 
Akili ya babu ikawa inatamani "ku-penyeza" tu hapo! Ovyo kabisa.
 
Huu ni wehu na ni dalili wazi huyu bibi hana au hapatigi wa kumsugua! Ndo maana anafanya hivi hazarani ili ajiridhishe!
Angekuwa anaipata yenyewe wala asingekuwa hivi. Ugonjwa huu unaitwa kizungu Exhibitionism
 
Mtu mzima hovyooo!!.hata baba mkwe mwenyewe mkware na jamaa kaolea wenzake,mke anayejiheshimu au woga wa familia hawezi fanya haya mambo ya kuzimu.
 
hawakuvunja sheria wako safe tu maadam walikua wako kwenye kasino sioni shida
halafu tungi sio chai ndiom maana kuna wakemia
 
Hawa ni wale akina dada wakutokea TNG ambao huwa wanajidai wamepandwa na mzuka......kwa hali hii tunaelekea wapi?eti ndo ngoma zetu hizi?wapi hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom