Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

In short ,....unverified forex brokers n scam...na wanajua watu dunian wanapend vitu quick.....wanachomesha acc intended...... Google forex scam brokers...utajua kama haujachagua broker.....but still forex n legal and real business.....
kujua all things dealer do its very difficult sema kwa uchache we know their movements.. napo some time kwa small capital inakuwa ngumu kuwa consistency ndani ya muda mrefu
 
Sidhani Kama hakuna kitu kwa ajili yako hapa duniani

Unataka commitment bila kurudi nyuma bila kuangalia Nani anasema Nini unahitaji moyo mgumu na mbishi .

Kelele zimejaa sana kitaa kuvunjana moyo vijana badala ya kukomaa na kitu kimoja wanaruka ruka Leo anauza kuku,kesho anauza mchicha,kesho anauza vitunguu

Huwezi kuwa expert wa kitu Kama unaruka ruka tu na kila kitu unaishia njiani

Na ndivyo ilivyo halafu hakuna pesa rahisi kiivyo kwenye tasnia yetu
lazima ikuchuje kweli maana unaweza pata pesa mapema utasumbua watu kitaa kwahio lazima upigike urushwe rushwe upelekeshwe ulizwe upoozwe ndio Sasa uanze Pat's mafanikio consistently


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway ila mimi ninaamini kuna vitu ambavyo si kila mtu anaweza kufanya, na ni rahisi kujua hii kitu siyo kwa ajili yangu na ndiyo maana mtu anashindwa kuwa consistent kwakuwa siyo mahala pake akifika anapofiit atatulia tu haijalishi atakutana challenges ngapi.
 
Nakushauri usiache FOREX inaonekana umekosa knowledge zaidi. Kitabu kitakachokuongoza katika mafanikio ya forex kinaitwa FOREX BIBLE (nimekutumia). Kisome kwa umakioni uilewe FOREX kiundani alafu ingia tena field utakuja nikumbuka sikumoja. Jambo jingine ingia youtube mtafute jamaa anaitwa ADAM AKHOO ni mchina tafuta mada zake za FOREX zinazohusu PSYCHOLOGY, kwa sababu ili uweze kuimaster FOREX inabidi uwe well trained katika PSYCHOLOGY.
 

Attachments

  • The Forex Bible.pdf
    16.7 MB · Views: 40
Robert Kayosaki anasema Ku diversify ni kupoteza resource hasa time na capital.
Anasema chagua field then find Financial Knowledge.
#Rich Dad - Cash Flow Quadrant.

NANI YUPO SAHIHI?

Refer Warren Buffet
 
Ingia mtaani mkuu, fanya chochote,
Mimi Nina elimu ya sheria lakini nauza Bar,
Halafu sioni Noma wala nini, hata wateja wangu wanalijua hilo.
Hata leo nikipata kazi mahakamani naacha hii kazi naingia mahakamani fresh kabisa.
Lawyer piga kazi

Mwezi wa tano nilikuwa A town ningejua ningekustua
 
Aisee nikupe pongezi sana hapa wengi ndipo hushindwa, na wote wenye moyo kama wako na ujasiri walifanikiwa. Mimi nilisoma Uchumi lakini sijawahi kupractise kazi yoyote related na hayo mambo.
Hili ni Dini kubwa ulilonipa leo Mkuu nafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…