Nani Mwenye Akili Timamu Kati ya Hawa.

Nani Mwenye Akili Timamu Kati ya Hawa.

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Kati ya hawa watu wawili..nani mwenye akili nyingi zaidi ya mwenzake?

attachment.php
 

Attachments

  • 1445524399112.jpg
    1445524399112.jpg
    27 KB · Views: 412
Ukiangalia kwa makini ni kuwa unagundua mambo yafuatayo.
1. Dogo kama anawashangaa watu wazima ambao bado hawajaamua
kuungana nae katika mabadiliko ya kweli......wakati muda umewadia
kufanya kweli.

2. Kubwa jinnga la ugambani lina onekana kumanga manga huku na huko kuona
kama litafanikiwa kumuona hata kikongwe tu aliye vaa majani ya migomba
ila limeambulia tatu bila....

attachment.php
 
Back
Top Bottom