Nani mwenye akili mvuta bangi au mlevi ?

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
Mvuta bangi anamuuliza mlevi
MVUTA BANGI:-Eti India ipo mbali sana?
MLEVI:-Hapana kwa sababu kuna mdosi pale jobu anakuja kazini kwa baiskeli kila siku
 
Mazingira ya swali na jibu hayatoi nafasi ya kujua yupi mjinga kwa kuwa hamna sehemu inayoonesha hao jamaa wako wapi. Kwanza kama Pmwasyoke alivyosema "Swali la kwanza halina tatizo" ni swali la kawaida. Pili, Je mlevi na mwenzie waliulizana hayo maswali wakiwa wapi?(Let's think of this scenario) Kama wako Wagah border upande wa Pakistan basi hapo hakuna mjinga, mwendawazimu wa mwehu kama wengi mlivyoshutumu. Raia wanaoishi Wagah border(India-Pakistani border) wanafanya shughuli zao katika nchi mbili tofauti just by walking across the border line to and from.Hivyo huyo mdosi angeweza kuja Pakistani(walipo hao walevi) kila siku kwa bike au even kwa miguu. Take it easy guys.
 
Kweli hatuelewi wako wapi.
 
MLEVI:-Hapana kwa sababu kuna mdosi pale jobu anakuja kazini kwa baiskeli kila siku
Na nyie vipi. Mmeshalewa au stimu zimewapanda? Ati hatuwezi kujua jamaa wako wapi n.k. Hapo kwenye red inaonyesha wazi hao jamaa wako wapi!
 
Kwi kwi kwii! sasa neno mdosi we linakujulisha vipi kwamba wako wako eneo fulani? Au ushakunywa gongo tayari? Anyway tuko kwenye jukwaa la utani hapa tunataniana usikurupuke kama kichaa kapewa Rungu.. :baby::baby::baby:
 
Ha ha ha ha haaaa. Nimekusoma mkuu!:smiling::loco:
 
wote wana akili lakini hawakuweza kuzitumia ipasavyo,ndio maana wakati wakiwa awajatumia vitu vyao utoa mawazo mazuri na kueleweka na jamii. tatizo ni kuelewa kwani alieuliza alitaka kujua na alietoa jibu alitaka kutoa maelezo
 
Ebwana eee.. Uncle avatar yako nayo balaa..
 
Back
Top Bottom