Nani mweny makosa?

Contigo

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
5
Points
0

Contigo

Member
Joined Nov 25, 2012
5 0
Kuna jamaa alitaka kumwumiza mpenzi wake kwa masihara. Kwakuwa walikuwa mbali mkoani alimwandikia barua mpenzi wake:
“Nimepata mpenzi mwengine wewe sikutaki tena! Kwahiyo ile picha yangu niliyokupa nirudishie”!
Basi Yule mdada akalia sana, kwa uchungu akatafuta picha za wanaume kama 10 hivi akamtumia huyo jamaa yake na kumweleza:
“Nimekusahau hebu tafuta picha yako kati ya hizo nilizokutumia halafu nirudishie nyingine za mabwana zangu “. Jamaa kwa uchungu kajitia kitanzi!
Jeeee nani mwenye makosa? Changi maini yako hapo.
 
Forum statistics

Threads 1,390,154
Members 528,096
Posts 34,044,102
Top