usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,098
DahWanguuu huuu babu
Unachunika?mimi nasubiria hicho kitengo cha mchunaji bora tu
Thank you wakunyumba. Shukrani yangu hii nitaisindikiza na picha ya msosi mtamu status.






wataka kunichuna?Unachunika?
Kama unachunika nina kisu kikali kweliwataka kunichuna?
Mfyuuuu zakooooo sitakiiii mapicha yako.Thank you wakunyumba. Shukrani yangu hii nitaisindikiza na picha ya msosi mtamu status.![]()



buloooock itakuhusuTulia wala sipost chakula kitamu sana sema kitakutoa mate tuMfyuuuu zakooooo sitakiiii mapicha yako.buloooock itakuhusu




vene nakupenda tu vile akili zako unazijua mwenyewe
SitakiiiiiiTulia wala sipost chakula kitamu sana sema kitakutoa mate tu![]()
basi mimi ni nyama laini kabisa huhitaji msaada kunikataKama unachunika nina kisu kikali kweli
Wala hufai kuchunwa. Ntaanza kukuchuna kidogo kidogo nakuachia bill zako Governersbasi mimi ni nyama laini kabisa huhitaji msaada kunikata