magdarena
Member
- Jun 21, 2012
- 58
- 23
Familia moja walimpekeka mtoto wao marekani kusoma,yule kijama alipomaliza shule kwabahati akapata kazi kule kwahiyo akaendelea kuishi kule kwamiaka mingi akiwa anaongea nawazazi wake ktk simu tuu. Jamaa akaomba likizo aje kuwaona wazazi wake. Alipokubaliwa akwa anapita madukani kutafuta zawadi zakuwaletea wazazi wake. Ktk pitapita madukani akakuta dawa yakupunguza uzee. Jamaa akaona bora awanunulie wazazi wake ambao walishaanza kuzeeka.kwabahati kunamtanzania alikua anarudi huku siku yapili yule jamaa akaamua ampe ile dawa atangulie nayo ili atapofika awakute wamebadilika. Siku ikafika yule jamaa akasafiri kuja tanzania. Alipofika uwanja wandege akategemea mapokezi yanguvu. Lakini jamaa hakuwaona wazazi wake. Akawa anaangaza huku nahuko bila kuwaona. Pembeni akamwona binti anambadilisha mtoto nepi. Akamwambi"binti hujambo?" Binti akajibu. Jamaa akamwambia hujawaona wazee wawili maeneo haya? Yule binti akamwuliza kwani weunawatafuta wakinanani? Kijana akamwambia wazazi wangu mr na mrs fulani. Yule binti akahamaki "jamani mwanangu waoooo" yule jamaa akamwambia binti umechanganyikiwa? Yulebinti akamjibu hapana mimama yako. Ile dawa uliotuletea tulipotumia tukawa vijana ila baba yako kazidisha dozi ndohuyu karudi utoto nilikua nambadili nepi kajisaidia" jamaa akapigwa namshangao akazimia.