Hongera zao japo karoho kananiuma.
Ni kama Arsenal kuifunga Manu, hata Manu iwe mbovu kivipi na Arsenal iwe kali kivipi, kichapo kipo pale pale kwa Arsenal ndani na nje. Yanga ndo Arsenal.
La tatu linakuja......
Upumbavu tu.
jaman chanel ipi ya tv inaonesha hii mechi??
Huyu mtangazaji analia nini!
mkuu unatania au kweli?
waliotarajia Yanga kulipa deni la 5-0 wameliwa.
Mbona sioni wana yanga humu
Mmesepa!!!!! teh
natangaza Rasmi kuhama timu ya Yanga na kujiunga na Simba. Simba wera weraaaaaaa!