Maandamano yamefanikiwa

Maandamano yamefanikiwa

The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.

Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.

Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
hii ni comment ya kulalia. ya siku!
 
Hii Kenya leo
Na huko pia wamepigwa pini walitaka kuandamana

1783452167391.png

1783452198751.png

1783452244158.png

1783452287812.png

1783452317372.png

Tarehe 29 nilishiriki maandamano kama nyie utawala ovu hamtapata amani na utulivu leo tu mmehaha hii ni kwasababu waovu hawawezi kupata utulivu na wataanguka.
Kwa hiyo Samia ameshakimbia nchi? Hujui kwamba watawala hawajali hilo!? Usipotoka kuandamana anabaki kuchekea chooni 😜😜😜😜. Ukitoka kuandamana ukipona pona Sana unarudi kilema.
 
The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.

Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.

Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
Wewe uliandamana maeneo gani?
 
Nachojua jana mkoa wa Mtwara, Lindi na Tanga shughuli za kiuchumi zilikuwa kama kawaida hakuna mtu aliyekuwa anajua kama kuna maandamano
 
Back
Top Bottom