nani mse...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani mse...?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by July Fourth, Aug 31, 2012.

 1. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,265
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  nani msela..

  [h=6]Jamaa mmoja alikuwa akiishi na
  mkewe,mkewe alikuwa anafuga
  paka na jamaa alikuwa
  anamchukia sana yule paka.
  Siku moja akaamua aende
  akamtupe mbali,akamchuku a na
  kuendesha gari kilomita
  1,akamuacha paka hapo akaanza
  kurudi home.Alipokua anakaribia
  kwake akamuona paka naye
  anaingia ndani.. akashangaa
  kweli..akauchun a.
  Siku iliyofuata akamchukua paka
  na kumpeleka mbali zaidi kilomita
  5 kutoka nyumani kwake..
  akumtupia hapo ye akaanza kurudi
  nyumbani....ali pokaribia nyumbani
  kwake akamuona tena paka naye
  amerudi anaingia ndani...akasema
  moyoni kesho utanitambua!!
  kesho yake akaamka na
  kumchukua paka akaenda mbali
  zaidi kilomita 50 akakata kushoto
  akakata kulia akanyoosha tena
  kushoto kulia akazunguka
  saaaana!...kish a akamtupa
  paka,akaanza safari ya kurudi
  home...baada ya muda akapiga
  simu kwa mkewe nyumbani.
  Jamaa:"Mke wangu vipi.... huyo
  paka yupo apo?"
  Mke:"Ndio mume wangu yupo
  katulia tu,vipi imekuaje?"
  Jamaa:"Hebu mpe simu anielekeze
  njia ya kurudi nyumbani...maan a
  mi nimepotea."
  [/h]
   
 2. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,609
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Tehe tehe huyo paka gani kama sio jini
   
 3. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  paka mtu
   
 4. s

  samweli kilagane New Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dahhh hii kal ndugu
   
 5. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Paka wa mama alikuwa anakitu!!!
   
 6. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaakwakwakwa nimeipenda hyo
   
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  imenibore mwishoni
   
 8. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,998
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  dah! Paka ni noma..nimecheka paka basi..
   
 9. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,424
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh! Utavunja mbavu jamani,eti mtupaji kapotea wakati paka katulia raha mstarehe!
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,905
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  Asijekuwa ndo mamamkwe huyo yeye akidhani ni paka
   
 11. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,000
  Likes Received: 1,222
  Trophy Points: 280
  Nimecheka kinoma. Ni kweli paka wanaweza rudi hata uwapeleke wapi.
   
 12. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  teh teh tehhhhh, yani paka hajapotea mzee wa watu kapotea!!!!!?
   
 13. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  huyo atakuwa ni mume mwenza
   
 14. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  teh tehe tehe teh tehe tehe t eeeeeeheeee.....!
  hii imamake hedline kwakweli.
   
 15. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,822
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Ubaya wa roho mbaya huo
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  angalau jamaa ana huruma, hakumuua.
   
 17. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Near by Mbalizi Mbeya.
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  alikuwa akiondoka na msukule wa paka!
   
Loading...