Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,114
- 2,382
Nimebobea kwenye real estate, kama unataka ushauri Nunuwa kiwanja kwa bei kubwa accessible to city center, usitoke nje ya kilometres 30, utakuja kunishukuru.Matola naweza kupata kampuni au mashirika yenye hire purchase agreement?
Maana najua nyumba za mradi CHANIKA na kuna zile za NSSF vikunai...
Kwingineko je?