Nani mlengwa ? Sisi au wao kwa wao ?

Kwa wakati tulionao zama hizi huwezi tembea hatua kadhaa iwe hujakutana na Mwanamke alievaa nguo inayoonyesha robo 3 ya matiti !. Mabarabarani, Maofisini, Vilabuni, Kumbini N.k.
Nianze kwa kujitolea mf. Kwangu binafsi kua katika organs parts za Mwanamke inayonivutia kwa haraka hua ni Matiti, (kama vile mchezaji Nyota au roho ya timu ninavyoyachukulia matiti)
Nachokiuliza haya matiti tunayowekewa waziwazi hua mlengwa hasa anaetakiwa kuyaona ni Mwanamke mwenzake ? Na kwa sababu zipi ?
Au mlengwa ni Mwanaume ? Kama ndiyo, ili iweje ?
Naomba kutoa hoja !

Biashara bila display sidhani kama biashara itatoka so nadhani umenisoma hapo
 
...Na joto lilivyo kali katika mikoa mingi ya nchi yetu labda wanawake waliojaliwa kuwa na maumbile ya utatanishi wavae burka :):) ndio macho ya njemba yataacha kuvutwa na maumbile hayo :):):)

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom