Uchawi ni elimu isiyo wazi kila MTU Ana uelewa wake katika alichojifunza Na kuona kwenye ushirikina wanaoujuhaukiachana na ugomvi wao hebu tafakari hayo maneno ya mleta uzi
Kwa mtu mwenye akili zake timamu keshapata jibu tayari baina yangu na yako nani nimweupe kichwani. Kitendo cha kukimbilia dhihaka ni dhahiri ndio ukomo wa fikra zako. Hili ni jukwaa huru ni kila aliyemo humu ana haki ya kuwa na mtazamo wake. Umetumia haki yako kwa uwezo wa fikra zako.We itakua umeathirika na ulaji wa kitimoto,hivi kuna mtu anajadili vitu with evidence kama faiza?sidhani,acha chuki kama uko mweupe kichwani elewa kuna watu wanauwezo mzuri wa kufahamu mambo,hebu niandikie uzushi wowote ulioletwa na faiza ntaomba mods wanitoe milele
mshana jr mzushi tu nilishamshitukia kitambo
Wote wapo sahihi.kuna mazongo ya aina mbili.kama unabisha nenda kwa semangube.Huyo hajui maana ya zongo ,Mshana yupo sahihi
Kuna mbongo asieujua,tunazuga tu,eti serikali haiamini uchawi,lakini wakati wa kampeni serikali nzima inakuwa kwa waganga,vilevile serikali inasema haina dini lakini watumishi wake asilimia 80%wanatoka dini moja.Kumbe Bi Mkubwa anaujua uchawi eeeh!