Nani mkweli kwenye hili la uchawi kati ya FaizaFoxy na mshana jr?

Kwa aneujua mchango wa FaizaFoxy na mshana jr katika Jf hawezi kushangaa hayo majibizano... Hii ni open platform na kila mtu anaweka mawazo yake. Wakazi wa humu wanaijua fika hulka ya Faiza na ukosoaji wake, hata hivyo si kila unachokijua kiko hivyo sehemu zote ndio maana mshana jr alieleza kwa kabila maalumu na maana zake.
 
Mmmh
 

Attachments

  • IMG-20161208-WA0014.jpg
    IMG-20161208-WA0014.jpg
    77 KB · Views: 77
  • FB_IMG_1481180484576.jpg
    FB_IMG_1481180484576.jpg
    21.6 KB · Views: 78
We itakua umeathirika na ulaji wa kitimoto,hivi kuna mtu anajadili vitu with evidence kama faiza?sidhani,acha chuki kama uko mweupe kichwani elewa kuna watu wanauwezo mzuri wa kufahamu mambo,hebu niandikie uzushi wowote ulioletwa na faiza ntaomba mods wanitoe milele
Kwa mtu mwenye akili zake timamu keshapata jibu tayari baina yangu na yako nani nimweupe kichwani. Kitendo cha kukimbilia dhihaka ni dhahiri ndio ukomo wa fikra zako. Hili ni jukwaa huru ni kila aliyemo humu ana haki ya kuwa na mtazamo wake. Umetumia haki yako kwa uwezo wa fikra zako.
 
Wenyewe wanawasomeni tu, ila kiukweli Mchana Jr namkubali. Ila ngoja nicheki mtanange huu utaishaje. Maana vita ya ukristu vs uislam vimeshaanza kwenye comments.
 
Naptaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1481180290846.jpg
    FB_IMG_1481180290846.jpg
    81.7 KB · Views: 73
  • f6b0d968da015305f49fbe6267e8f073.jpg
    f6b0d968da015305f49fbe6267e8f073.jpg
    54.4 KB · Views: 71
Hawa Ni mke na Mume nawajua vizuri Sana, walishatalikiana ndo mana kila mmoja Ana hasira na mwenzake lakini kiukweli bado wanapendana sana
 
Kumbe Bi Mkubwa anaujua uchawi eeeh!
Kuna mbongo asieujua,tunazuga tu,eti serikali haiamini uchawi,lakini wakati wa kampeni serikali nzima inakuwa kwa waganga,vilevile serikali inasema haina dini lakini watumishi wake asilimia 80%wanatoka dini moja.
 
Back
Top Bottom