Nani mkubwa?

Nani mkubwa?

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
34,637
Reaction score
38,026
Jamaa anamuuliza rafiki yake ... Hivi hadi sasa una umri gani? ... Rafiki anajibu... Miaka 56... Jamaa anamuuliza tena rafiki yake.... Baba yako mzazi alifariki akiwa na umri gani? .... Jamaa anajibu ... Baba yangu amefariki akiwa na miaka 49. .. Jamaa anamuliza rafiki yake kwa mara nyingine... SASA HADI LEO HII WEWE NA BABA YAKO NANI MKUBWA? ... Mwana JF, hilo swali la mwisho kama ungekuwa ni wewe ungejibu nini.?
 
yani hilo swali la mwisho humjibu,unamnasa vibao tu..........yani yeye anafananisha umri wako na marehemu
 
Mtu mwenye akili anajua...aliyeanza kuzaliwa ndiye mkubwa
. FUll stop!
 
Swali la kujiuliza ni baba alizaliwa mwaka gani...halafu mu assume wote wangekuwepo ndio mfanye hizo hesabu za kitoto!!!
 
Back
Top Bottom