Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

Soma zaburi 8:5

Pia binadamu ana uhuru wa kuchagua, kifalsafa malaika ana utii kamili bila uhuru! Malaika ana nguvu kubwa kuliko sisi lakini mbele za muumba tuna thamani zaidi.๐Ÿ˜Ž
Ungeambiwa uchague uwe malaika au binadamu ungechagua kuwa nani?
 
Kwa Mujibu wa Uislamu Mwanadamu akifanya matendo mema na kuacha kumuasi Allah anakua bora kuliko malaika bcz Mwanadamu amepewa matamanio ila akaweza kuyahimili matamanio yake na kutofanya maasi basi Mwanadamu hapo hua bora kuliko Malaika ambae yeye hana matamanio ila kazi yake kubwa ni kumuabudu Muumba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ