Spice girls
Member
- Jul 2, 2017
- 26
- 35
Habari wana jf ,nani mkali kati Chino kidd vs Msami.
Kwanini usisema Chino vs Moze Iyobo? Achana na Msami maana Chino hamfikii Msami, badirisha title head,Habari wana jf ,nani mkali kati Chino kidd vs Msami.
Muulize The Icebreaker anamfahamu kila mtu Dar 😅😅😅Duh! Nimetoka kapa,ndo kina Nani hao?
Hao ni madancer wa Tz ambao wapo kwenye peak kwa sasa.Duh! Nimetoka kapa,ndo kina Nani hao?
Hiyo Dar yenyewe ndio wapi kwanza?Muulize The Icebreaker anamfahamu kila mtu Dar 😅😅😅
😂😂😂😂Hiyo Dar yenyewe ndio wapi kwanza?
😁 Mchague tu mmoja wao hapo kati ya huyo Chino wanamani vs Msami! hata kama wote wawili huwafahamu, ili tu mtoa mada afarijike.Duh! Nimetoka kapa,ndo kina Nani hao?
Humjui msami wewe. Yeye yupo nyuma ya dancers wa wasanii kwenye video nyingi sana. Yeye ndio dancing manager, Chino kwanza udance manager kwenye kwaito hizi. Style za kukopi.Msami ni overrated na wakawaida sana kwanza hana style mpya ,yeye anacopy kiufupi sio mbunifu hata kwa mose iyobo hafiki ndio maana mwenzio yupo mbali.
Mshamba nn huyo Msami nan ambaye hamjui?Humjui msami wewe. Yeye yupo nyuma ya dancers wa wasanii kwenye video nyingi sana. Yeye ndio dancing manager, Chino kwanza udance manager kwenye kwaito hizi. Style za kukopi.
Unamjua msami vizuri wewe. Yeye si mwanamuziki yule ni dancer. Ukiona nandy anacheza ni yeye yupo kasimamia pale, ukiona maua sama anacheza.
Chino ndio kaazna na dance zake zinajulikana. Chino ana upepo tu.
kwa watanzania mtu anayeweza kucheza ngumi ukaona kama anafanana na nje, ni ibrahim yule rasta na mwakinyo. wengine wote unawaona kabisa wakikabidhiwa kwa mtu wa nje, anaweza kuuawa.Habari wana jf ,nani mkali kati Chino kidd vs Msami.
Chino anajua ule ukweli ,Msami ni kik hana mafanikio na mwili hauchezi🤣🤣🤣Msami jina lake na yeye wapo tofauti yaani ni dancer ambaye ni local sana na kucopy hana mpya .Chino....huyu mtu nadhani nyota yake ipo vizuri Sijawahi kumfuatilia hata uchezajai wake ila nimejikuta nampenda nikisikia "Chinowanaman Chinowanaman"