Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Pia kuna mkongwe Johnny Cash.....
Jonny Cash ni miongoni mwa ma legend wa country musics. Huyu mtu si wengi sana wanamfahamu but he was and still among the best today. Ni miongoni mwa watu walioweka mark kwenye genre ya country.
 
Don William ni hatari...nikisikia nyimbo zake kama vile "Listen to the Radio" na "Good ole boys like me", zinanipeleka mbali mno.
Mimi ni mpenzi sana wa country musics and i have lots of albums from different artists. Kenny ad Don are all best country artists. Lakini nikiambiwa niweke mapenzi yangu upande mmoja basi nitaweka kwa Don Williams. Yule mzee kazeeka na sauti yake kama ilivyo yani, yuko very calm anapoimba. Ukiweza fuatilia albums zake zote utaelewa. Ni mzee wa ballads pia
 
Nikisema Oldies wote hao wanakua included,
Pia Kuna wakina Tina Turner, Phil Collins, Chris de Burgh, Luther Vandross, New Edition, Cliff Richard, Roxette, Vanessa, Judy, Doly, bila kumsahau Lionel Richie, etc.
Vipi mkuu. Soul musics ni mpenzi pia?. Maana mimi ni mzee wa zamani when it comes to old musics. Kama hujapata wasaa sana wa kuzama kwenye soul musics, jaribu na hutojutia
 
Vipi mkuu. Soul musics ni mpenzi pia?. Maana mimi ni mzee wa zamani when it comes to old musics. Kama hujapata wasaa sana wa kuzama kwenye soul musics, jaribu na hutojutia
Ni mzee wa zamani au kijana wa zamani?
Teh teh teh,

Napenda pia, ila kwa kua ww umebobea zaidi huko nipe japo mwanzo then niangalie nilizonazo na kama sina nipate kutafuta.
 
Ni mzee wa zamani au kijana wa zamani?
Teh teh teh,

Napenda pia, ila kwa kua ww umebobea zaidi huko nipe japo mwanzo then niangalie nilizonazo na kama sina nipate kutafuta.
Ha ha haaaaa. Mzee.

Unaweza anzia kwa kutafuta albums zilizowahi toka Motown records. Kuna watu kama kina Marvin Gaye.

Pia tafuta nyimbo za kina Etta James etc. Ukiingia huko hutotamani kutoka.
 
Aisee ukitaka kupambanisha hawa watu wawili utapata tabu sana.Yaani kwa sisi wataalam wa muziki kuna vitu vingi sana tunaviona kwa hawa jamaa kuwa vinashabihiana.Kwangu nawapa "droo".
 
Kuna mtu anaitwa Hank Williams. Tafuta nyimbo zake. Ni miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuingia kwenye country hall of fame.
Funny enough ndio namsikia leo.
Nimesikiliza hiyo nyimbo yake "Hey good looking" imetulia.

Mwingine ambae napenda nyimbo zake ni Johnny Cash nyibo yake "Ring of fire" , "Take me home, country roads " aliimba John Denver pia Dolly Parton.
 
Johnny Cash naye yuko vizuri sana. Kuna album inaitwa Out among the stars iko safi sana. Nikipata muda nitapick some songs then nikupe majina. Utazipenda
 
Back
Top Bottom