Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

Hapo 50/50...

Shaggy ana ladha yake...

Na Sean ana ladha yake...

Ukisikiliza nyimbo zao kila mmoja anakupa kaladha flani kautofauti flani ambako hakapo kwa mwenzake..

Ila ladha zote ni maximum kabisa ambazo huwezi sema huyu kamzidi yule...
 
Ni ukosefu wa akili kabisa kuifananisha hiyo miamba miwili katika miziki ya reggae na dancehall maana ilitamba mno kwa nyakati tofauti na miziki yao ina vionjo tofauti ingawa kiubora wanaweza kuwa 50% kwa 50%.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni huge fan wa Shaggy na albamu yake Hotshot kwangu ndio albamu bora. Lakini hawa ni era tofauti mkuu hata aina ya muziki japo uko kundi moja.
 
Shaggy ana ladha zote za club na slow flani za kusikiliza ukiwa umetulia
sean ngoma zake nyingi ni club banger.. za kuamsha hamsha. Ila jamaa ni balaa, kuna kipindi nilikuwa namwiga mpaka mavazi

Ila nampa shaggy six out of ten.. Kuna ngoma nikisikiliza roho yangu inatapa buruduni ndani kabisa
 
Orville Richard(shaggy) alibamba sana kiasi mpaka anakuja Sean tyr mwamba alikuwa kashamaliza kipindi chake hivyo kumshindanisha Sean na Shaggy nahisi sio sawa kwani walihit ktk vipindi tofauti na kila mtu alitukamata kwa kipindi chake



Kasikilize in The Summertime la mr.bombastic
Hapa umeongea mkuu maana nyimbo za shaggy nazijua lakini nimekua kipindi Sean Paul akiwa kwenye peak

So, ukiniuliza hapo ni rahisi kwenda na sean Paul

Ila kwenye preference singing, naona shaggy kama ana talent kubwa haswa kwenye uimbaji Ila Sean Paul ni hit maker
 
Back
Top Bottom