Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

Diblo dibala
 

Attachments

  • Diblo_Dibala_&_Matchatcha_-_Laisser_Passer_(1992)_RDC.mp3
    4.9 MB · Views: 31
Nawasalimu Great Thinkers,

Kama kuna watu waliojaliwa vipaji na wamevitumia ni hawa jamaa wawili Diblo Dibala na Dally Kimoko, hawana utani wanapokamata mpini, mfano Diblo Dibala (Extra Boy), Dally Kimoko (Liza), si mchezo achilia mbali bendi zao za kazi ila wamekuwa wakitumiwa na bendi nyingine kurecord, kama kuna mwenye nyimbo walizopiga mpini leteni humu tusikie mambo, nani zaidi kati ya hawa magwiji wa mpini?
Solo Guitar- Dally Kimoko
Rhythm Guitar- Lokassa “the money” ya mbongo
Bass Guitar- Ngouma Lokito.
 
Kaka hawa jamaa shughuli ni pevu. dibala yankomba(Diblo dibala) ni hatare extra ball akiwa loketo.liza ,sai akiwa Kandabongoman.pomon na voucher akiwa Pepe kale.Mwenyewe akiwa na bendi yake,matchatcha vibao mutual lesser passer,ok madame no.Huyu bwana mkubwa noma
Ndala kimoko(Dally kimoko) huyu ni mwamba ni noma akiwa soukuss star,vibao Kama bazo kilichomtoa yondo,monies Kanda na wamziki kibao amegongea mpini
Poa tisiwasahau warithi wao Nene tchakou.Beniko(popolipo),saladin

Iko siku nitashusha playlist moja matata ilosheheni mipini ya hawa miamba
 
Hivi yule Deniko aliekuwa anapiga Gitaa kwa Koffii na Madilu yupo wapi siku hizi maana jamaa nae anaweza si mchezo.
Ni Beniko Zangilu (popolipo) nae ni balaa sana. Kwenye wimbo wa Aurlus Mabele uitwao Stop Aretez na mali Bamako zote ni mkono wa Beniko kwenye Solo.
 
Soukouss Stars, ukiondoa Wenge Musica, hawa jamaa miaka ya 90 ilikua ni shidaa
Balu Canta, Shimita Ngouma Lokhito, Kusala Yondo Sister,Dally Kimoko, Sahladin ilikua ni hatari
Tatizo mnamjua pep kale tu na alipigiwa. Solo sana na Dally,,sikiliza soukous stars,msikilize fede lawu,shimita ,nk
Soukous stars nyimbo zao nyingi wamewahushisha Nene tchakou, Dali Kimoko na Saladin katika kupiga solo. Ni nyimbo chache mno Diblo kushiriki. Kwenye kundi la Soukous stars ,Diblo ameshiriki tu kwenye nyimbo za Balou Canta pekee. Ambazo ni Bongo Sonia, Amour Madinina, Sadia, Kumbe Kumbe, pamoja na album ya Balou Canta itwayo Adama.
 
Back
Top Bottom