Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,318
- 7,215
Ni Kweli! Mimi as a Producer ntakua na chaguzi si lazima Mawazo yangu yawe kama yako! Ndo maana Bongo Movie haiendelei coz Producers&Director wana Mawazo mgando kama yako na wenzio! Mmekariri! Nna uhakika wewe ungekua Ni Producer WA PRISON BREAK, usingekubari T BAG awe adui, muuaji WA kiwango kile, nahisi ungewaweka jamaa hapo juu kwenye picha!lazima watu kama wewe wawepo katika thread