Nani mkali hapa???

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali
 
Excuse u!!! How can u compare Diamond n Chamelion? Chamelion is a legend n 2 bring him down its gonna take ages. Diamond is just msanii aliyeibukia n we r not even sure atadumu 4 how long.
 
Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali

Unafananisha Fenesi na Zabibu? Kwa kukusaidia tu Wakati hata Akiwa bado Hajaanza Kufikiria Kuimba Joseph Mayanja Chamelion tayari Alikuwa ni Celeb na Tajiri Mno na Kama Sijakosea Wanaojua Zaidi Watanisaidia Kuwa Anazidiwa na Msanii Mmoja tu wa Kutoka Nchini Kenya Kwa Utajiri na Diamond bado Sana Kumfikia Japo Nakiri Kwamba Dogo Diamond Sasa Moto Wake Hauzimiki.
 
Naona wengi wetu tunakubali ndani ya nyoyo zetu kuwa diamond anazidi kupanda juu kila kukicha na hata itakapofikia kushuka umaarufu wake lakini tayari atakuwa kishapata utajiri wa kutosha!
 
Naona wengi wetu tunakubali ndani ya nyoyo zetu kuwa diamond anazidi kupanda juu kila kukicha na hata itakapofikia kushuka umaarufu wake lakini tayari atakuwa kishapata utajiri wa kutosha!
kumfananisha na kamilion kwa sasa ni ukosefu wa adabu
 
Unawafaninsha kwa nini?
Chamillione ni mkongwe asiyechuja
Diamond ni chipukizi anayefanya vizuru sana kwa sasa

Kimuziki kwa sasa naweza sema Diamond yupo juu zaidi
 
Chamilion yupo juu sana. Dimond anavuma tu. Ukitaka ujue dimond si chochote si lolote hata hapa dar mshindanishe jukwaani na juma nature uone atakavyo timuliwa vumbi tu. Chezea wakongwe wewe!. usirudie kusema hivyo.
 
Ha haaa mkuu acha utani bana
Juma Nature gani? huyu anayeitwa kutumbuiza kiingilio bure kwenye baa?
Unajua viwango vipya vya kumuita Diomond kwenye shoo moja alivyotangaza
Muziki si kurusha rusha mapanga jukwaani tu kaka.......music means to make more money
 
Pole sana. Hujui usemacho.so sibishani na wewe tena m sorry.
 
Pole sana. Hujui usemacho.so sibishani na wewe tena m sorry.

Kweli mkuu bora ukae kimya
Juma alinichosha kabisa kwenda kuungama kwa Ruge apewe angalau show za Fiesta mwaka jana apate chochote wakati Clouds ndio walimkosea.......nilichoka
 
Kweli mkuu bora ukae kimya
Juma alinichosha kabisa kwenda kuungama kwa Ruge apewe angalau show za Fiesta mwaka jana apate chochote wakati Clouds ndio walimkosea.......nilichoka

Juma nature na clouds media ni sawa na samaki na maji. Hadi kwenye vikao vya kuandaa show anakuwepo. Kila jini na mbuyu wake ndo maana hata kwenye nyimbo anamsifia ruge so usimhukumu kwa hilo kisa clouds walimfungia dimond
 
Naona wengi wetu tunakubali ndani ya nyoyo zetu kuwa diamond anazidi kupanda juu kila kukicha na hata itakapofikia kushuka umaarufu wake lakini tayari atakuwa kishapata utajiri wa kutosha!

anamiliki biashara ngapi kubwa, nyumba ngapi na kwenye akaunti kuna sh. ngapi na kwa siku anaingiza shilingi ngapi?
 
Wakuu tusimnyime haki mdogo wetu Diamond Platnumz, kama ni suala la fedha ndio msingi wa huu uzi basi kuanza muziki zamani haimaanishi kuwa wewe ni tajiri. Tuna wanamuziki wetu wengi wakongwe walioanza miaka ya sabini na themanini kwa sasa wako taabani kifedha.

December 2013 Diamond Platnumz alivunja rekodi ya wanamuziki wa E.A kwa kutengeneza music video kwa $ 30,000, dogo anajitahidi.:hand:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom