Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali
Diamond hana mpinzani kwa sasa...
kumfananisha na kamilion kwa sasa ni ukosefu wa adabuNaona wengi wetu tunakubali ndani ya nyoyo zetu kuwa diamond anazidi kupanda juu kila kukicha na hata itakapofikia kushuka umaarufu wake lakini tayari atakuwa kishapata utajiri wa kutosha!
Ha haaa mkuu acha utani banaChamilion yupo juu sana. Dimond anavuma tu. Ukitaka ujue dimond si chochote si lolote hata hapa dar mshindanishe jukwaani na juma nature uone atakavyo timuliwa vumbi tu. Chezea wakongwe wewe!. usirudie kusema hivyo.
Ha haaa mkuu acha utani bana
Juma Nature gani? huyu anayeitwa kutumbuiza kiingilio bure kwenye baa?
Unajua viwango vipya vya kumuita Diomond kwenye shoo moja alivyotangaza
Muziki si kurusha rusha mapanga jukwaani tu kaka.......music means to make more money
Pole sana. Hujui usemacho.so sibishani na wewe tena m sorry.
Kweli mkuu bora ukae kimya
Juma alinichosha kabisa kwenda kuungama kwa Ruge apewe angalau show za Fiesta mwaka jana apate chochote wakati Clouds ndio walimkosea.......nilichoka
Naona wengi wetu tunakubali ndani ya nyoyo zetu kuwa diamond anazidi kupanda juu kila kukicha na hata itakapofikia kushuka umaarufu wake lakini tayari atakuwa kishapata utajiri wa kutosha!