Nani Mjinga hapa!

Kileghe

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
348
500
2 ndio mjinga zaidi,uzito wake na moja utamfanya 3 awadondoshe mapema,halafu wako mbal na arthi kwa hiyo wataumia zaidi,pia 2 yuko karibu na mti na matawi makubwa hivo mgongano utakuwa zaidi ya 1 na ataumia zaid ya 1
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,657
2,000
Mjinga ni ww ambaye unaona namba 4 anajimaliza lakn unamwangalia tu ili ajimalize
 

wingatereza

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,268
2,000
Mjinga namba moja, wenzake wana misumeno yeye anakodoa macho badala ya kuruka au kumzaba vibao no 2
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom